Habari

Rais Dkt. Samia aagiza kufanyika uchunguzi wa majengo Kariakoo

“Jitihada zetu kubwa katika tukio hili zilikuwa kuokoa wenzetu walionaswa ndani ya jengo hili wakiwa hai ndio lengo kubwa. Lakini kama tunavyoambiwa jitihada haiondoshi kudra za Mungu. Pamoja na jitihada zilizofanywa na serikali na waokoaji hawa waliopo hapa na wengine lakini bado kuna wenzetu ambao tumewapoteza. Na taarifa niliyopewa leo kwamba mpaka saa tatu asubuhi

Rais Dkt. Samia aagiza kufanyika uchunguzi wa majengo Kariakoo Read More »

PSSSF imeanza kulipa mafao kwa kikokotoo kipya kilichoboreshwa- Waziri Kikwete

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeanza kutekelezaji maagizo ya serikali ya kuanza kulipa mafao kwa kutumia utaratibu wa kikomkotoo kilichoboreshwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ametangaza. Kikwete ametangaza hayo leo Novemba 20, 2024 jijini Dar es salaam, mbele ya Wastaafu

PSSSF imeanza kulipa mafao kwa kikokotoo kipya kilichoboreshwa- Waziri Kikwete Read More »

Kiruswa awakaribisha wawekezaji kujenga viwanda ukanda maalum wa kiuchumi Kahama

📌Asema Tanzania ni sehemu salama kwa uwekezaji Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa amewaalika Wawekezaji kuchangamkia fursa ya ujenzi wa viwanda katika eneo la Ukanda Maalum wa Kiuchumi uliopo Wilaya ya Kahama, Mkoani Shinyanga ambapo Mgodi wa Buzwagi umefunga uzalishaji wake.  Akizungumza leo, Novemba 20, 2024, katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,

Kiruswa awakaribisha wawekezaji kujenga viwanda ukanda maalum wa kiuchumi Kahama Read More »

Kuanzia Januari 2025, Vivuko vitakuwa vinasubiria abiria, sea tax kuongezwa

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam Marine zinaendelea kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo kufikia mwezi Januari 2025 vitaongezwa vivuko vidogo (sea tax) kufikia sita (6) ambapo ushirikiano

Kuanzia Januari 2025, Vivuko vitakuwa vinasubiria abiria, sea tax kuongezwa Read More »

PSSSF yawapa mbinu wastaafu watarajiwa Mbeya jinsi ya kuishi nje ya utumishi wa umma

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umekutana na wanachama wake wa Mkoa wa Mbeya wanaotarajia kustaafu hivi karibuni na kuwapa mafunzo (mbinu) bora ya kuishi baada ya kustaafu utumishi wa umma. Akiwapa mbinu hizo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Meneja wa Pensheni za Wastaafu, Kwame Temu, amewaambia kuwa ni

PSSSF yawapa mbinu wastaafu watarajiwa Mbeya jinsi ya kuishi nje ya utumishi wa umma Read More »

Kamati ya Bunge, Ustawi na Maendeleo ya Jamii yawataka watumiaji Daraja la Nyerere kulipia bando

*Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu *Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere, Kigamboni ambapo imewataka watumiaji wa daraja hilo kulipia bando kwa sababu ni

Kamati ya Bunge, Ustawi na Maendeleo ya Jamii yawataka watumiaji Daraja la Nyerere kulipia bando Read More »

RC Senyamule apongeza utaratibu wa PSSSF kuelimisha wastaafu watarajiwa

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amepongeza utaratibu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kuwajengea uwezo wa namna bora ya maisha nje ya utumishi wa umma kwa wastaafu watarajiwa wanaochangia PSSSF jijini Dodoma Novemba 11, 2024. Amesema mwelekeo wa serikali ni kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati

RC Senyamule apongeza utaratibu wa PSSSF kuelimisha wastaafu watarajiwa Read More »

Verified by MonsterInsights