Habari

RC Chalamila azindua programu ya upandaji miti ya Michikichi Mto Mpiji

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amezindua rasmi programu ya upandaji wa miti ya Michikichi katika Mto Mpiji kwa lengo la kurejesha uoto wa asili na kuthibiti mmomonyoko wa udongo na kuimarisha mazingira yanayoathirika zaidi kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Hafla hii ya uzinduzi imewakutanisha wadau mbalimbali wa mazingira wakiwemo NEMC, Wakandarasi […]

RC Chalamila azindua programu ya upandaji miti ya Michikichi Mto Mpiji Read More »

Kamati za Bunge zashiriki semina ya TRC kuhusu uendeshaji wa SGR na miundombinu

Kamati ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Bunge ya Miundombinu zimeshiriki Semina ya Wabunge kuhusu utendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Stesheni ya SGR ya John Pombe Magufuli jijini Dar es Salaam, Novemba 09, 2024. Lengo la Semina hiyo ni kuwajengea uwezo wabunge ili wafahamu vyema shuhguli

Kamati za Bunge zashiriki semina ya TRC kuhusu uendeshaji wa SGR na miundombinu Read More »

Wabia wa maendeleo waahidi kuendelea kushirikiana na serikali kutekeleza miradi ya REA

📌 REA yapongezwa kufikisha umeme vijijini Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Fatma Mwassa ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kazi kubwa ya kufikisha umeme vijijini ambapo imekuwa ni chachu katika kuboresha huduma za kijamii vijijini pamoja na uchumi wa wananchi. Mwassa ametoa pongezi hizo leo Novemba 8, 2024 Mkoani Kagera wakati akifungua Mkutano wa Pili

Wabia wa maendeleo waahidi kuendelea kushirikiana na serikali kutekeleza miradi ya REA Read More »

Kapinga asema mafanikio Sekta ya Nishati yanatokana na jitihada za Rais Samia

📌 Ni wakati akitoa mchango Bungeni kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo 📌 Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa 📌 Aeleza usambazaji umeme vijijini ulivyofanyika kwa mafanikio; Vijiji 78 Tu vyasalia 📌 Aeleza jitihada zilizofanyika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia; Utoaji wa Leseni na Duru ya Tano ya kunadi vitalu

Kapinga asema mafanikio Sekta ya Nishati yanatokana na jitihada za Rais Samia Read More »

REA kufunga mifumo ya nishati safi ya kupikia Shule ya Ruhinda

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeahidi kujenga mifumo ya nishati safi ya kupikia pamoja na jiko katika shule ya Sekondari ya mchanganyiko ya Ruhinda iliyopo Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera. Ahadi hiyo imetolewa Novemba 7, 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy wakati wa muendelezo wa ziara ya viongozi mbalimbali wa Serikali waliambatana

REA kufunga mifumo ya nishati safi ya kupikia Shule ya Ruhinda Read More »

Makandarasi wakumbushwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu kusajili miradi

Makandarasi wameaswa kuzingatia sheria kanuni na taratibu zote zinazoongoza shughuli za ujenzi ikiwemo kusajili miradi inayotekelezwa hapa nchini. Akizungumza wakati wa mafunzo ya Mipango na Udhibiti wa Miradi ya Ujenzi (Construction Planning, Organisation and Control) yanayofanyika kwa siku tatu jijini Mwaza, Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) Mhandisi Rhoben Nkori alisema kuwa lengo

Makandarasi wakumbushwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu kusajili miradi Read More »

Verified by MonsterInsights