Habari

Rais Samia aziwezesha sekta binafsi kutekeleza miradi ya umeme

📌Shilingi bilioni 2 zimetolewa na REA kuendeleza mradi 📌 Utunzaji wa mazingira umepewa kipaumbele kwenye utekelezaji wa miradi  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipa kipaumbele sekta binafsi kutekeleza miradi ya nishati ya umeme kwa kuwekeza katika sekta hiyo na kuwezesha fedha ili wananchi waendelee kupata umeme wa uhakika nchini.  […]

Rais Samia aziwezesha sekta binafsi kutekeleza miradi ya umeme Read More »

“Vijana Jeshi la Akiba msijiingize kwenye makundi ya kisiasa”-DC Magoti

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe,Petro Magoti ametoa wito kwa Vijana wa Jeshi la Akiba kutojiingiza kwenye makundi ya siasa mara baada ya kuhitimu Mafunzo yao bali kufata vifungu vya sheria za Jeshi hilo la Akiba. Mkuu wa Wilaya huyo ameyasema hayo wakati wa kufunga mahafali ya Miezi Minne kwa Askari wa Jeshi la  Akiba (Mgambo),mkoani

“Vijana Jeshi la Akiba msijiingize kwenye makundi ya kisiasa”-DC Magoti Read More »

REA imeuwezesha mradi wa Mwenga Hydro shilingi bilioni 16.6

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira, kuzalisha umeme wa uhakika na kutoa ajira kupitia miradi hiyo.  Hayo yamebainishwa leo Oktoba 31, 2024 na Mkurugenzi wa Teknolojia Mbadala na Nishati Jadidifu kutoka REA, Mha. Advera Mwijage alipotembelea mradi wa Mwenga Hydro unaozalisha

REA imeuwezesha mradi wa Mwenga Hydro shilingi bilioni 16.6 Read More »

EWURA yazitaka mamlaka za maji kuacha kupika takwimu za huduma

Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira nchini zimeelekezwa kutoa taarifa sahihi kuhusu uendeshaji na utoaji wa huduma kwa kuwa taarifa hizo hutumika katika utekelezaji wa mipango ya Serikali inayolenga kuimarisha sekta ya maji nchini. Maelekezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dk. James Andilile,

EWURA yazitaka mamlaka za maji kuacha kupika takwimu za huduma Read More »

Mikakati ya Rais Samia, Tanzania kuwa namba moja uzalishaji wa chakula Afrika 

Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika kupitia mikakati mitatu mikuu ya serikali katika sekta ya kilimo. Akiwa nchini Marekani jana aliposhiriki kwenye mjadala kuhusu kilimo barani Afrika katika mji wa Des Moines, Iowa, Rais Samia amesisitiza kuwa serikali yake imejizatiti kukuza sekta ya kilimo

Mikakati ya Rais Samia, Tanzania kuwa namba moja uzalishaji wa chakula Afrika  Read More »

REA yafikisha umeme kwa wananchi 2,400 Njombe, yatumia bilioni 80

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umepeleka umeme kwa wananchi wapatao 2,400 wa vijiji nane (8) vya Tarafa ya Lupembe, Wilaya ya Njombe mkoani Njombe baada ya kuiwezesha kampuni ya Matembwe Village Company Ltd kuzalisha umeme wa kilowati 550. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 30, 2024 na Mkurugenzi Teknolojia Mbadala na Nishati Jadidifu kutoka REA, Mha. Advera

REA yafikisha umeme kwa wananchi 2,400 Njombe, yatumia bilioni 80 Read More »

“Dhamira ya serikali kulipa fidia wananchi wanaopisha miradi ya maendeleo”- Kapinga 

📌  Ataja fidia iliyolipwa kwa baadhi ya miradi ya umeme 📌 Aeleza mipango ya ujenzi wa vituo vya kujazia gesi kwenye magari (CNG) Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema ni dhamira ya Serikali kuhakikisha kuwa wananchi wote wanaopisha miradi ya maendeleo wanalipwa fidia   kulingana na taratibu zilizopo. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 30, 2024

“Dhamira ya serikali kulipa fidia wananchi wanaopisha miradi ya maendeleo”- Kapinga  Read More »

Verified by MonsterInsights