Mchinjita awapokea ACT Wazalendo wanachama 251 wa CCM Lindi
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Tawi la CCM Kijiji cha Mihima Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Saidi Mbila na wanachama wengine 250 wa chama hicho wamejiunga ACT Wazalendo. Miongoni mwao wapo mshindi wa pili na watatu wa kura za maoni za CCM. Wanachama hao walipokelewa jana Oktoba 29, 2024 na Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha […]
Mchinjita awapokea ACT Wazalendo wanachama 251 wa CCM Lindi Read More »