Habari

Silaa: Watumishi Singida tangulizeni maslahi mbele ya wananchi

WAZIRI wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewataka watumishi wa sekretarieti ya Mkoa wa Singida kutanguliza maslahi mbele ya wananchi katika utendaji wao wa kazi ili kuupaisha mkoa huo na taifa kimaendeleo. Akizungumza na watumishi hao leo Oktoba 26, 2024 amesema iwapo watatanguliza maslahi ya wananchi kazi zitakwenda vizuri lakini wakitanguliza maslahi yao […]

Silaa: Watumishi Singida tangulizeni maslahi mbele ya wananchi Read More »

Kaduara awaita washirika wa maendeleo kuendeleza Jotoardhi Tanzania

Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shaibu Kaduara amesema Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) lililofanyika nchini kuanzia tarehe 21 Oktoba 2024 litaleta uwekezaji na ubunifu mpya katika uendelezaji wa nishati ya Jotoardhi Tanzania. Kaduara amesema hayo wakati hafla ya ufungaji wa kongamano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salaam

Kaduara awaita washirika wa maendeleo kuendeleza Jotoardhi Tanzania Read More »

Tanzania kinara matumizi sahihi ya teknolojia kukabili maafa

TANZANIA imeendelea kuonesha umahiri wake katika masuala ya menejimenti ya maafa kwa kuzingatia mifumo sahihi ya kukabiliana na majanga na matumizi ya teknolojia ya kisasa pamoja na miongozo, kanuni na sheria zinazoongoza katika uratibu wa masuala hayo. Hayo yameelezwa leo nchini Namibia na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu

Tanzania kinara matumizi sahihi ya teknolojia kukabili maafa Read More »

Balozi akoshwa Tanzania inavyoimarisha uhusiano wa kidiplomasia

KAIMU Balozi wa Tanzania nchini Namibia Elias Tamba anafurahishwa na namna Tanzania inavyoendelea kuimarisha misingi ya uhusiano wa diplomasia baina yake na nchi hiyo katika nyanja mbalimbali, huku mchango wa kusaidia uhuru wa Namibia ukitajwa. Ameyamesema hayo wakati Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga, alipotembelea Ofisi

Balozi akoshwa Tanzania inavyoimarisha uhusiano wa kidiplomasia Read More »

Ujenzi bomba la mafuta ghafi la EACOP, vijiji 12,240 vyafikiwa na nishati ya umeme

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Makame amesema utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki ( EACOP),   umefikia asilimia 43.5 huku baadhi ya kazi za ujenzi katika makambi na vituo vya kuhifadhia mabomba zikikamilika kwa asilimia 100. Amesema hayo leo wakati akitoa taarifa kwa Kamati

Ujenzi bomba la mafuta ghafi la EACOP, vijiji 12,240 vyafikiwa na nishati ya umeme Read More »

Verified by MonsterInsights