Habari

Serikali itaendelea kushirikisha wawekezaji uendelezaji Nishati Jadidifu- Dk. Mataragio

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dk. James Mataragio amesema Serikali itaendelea kuwashirikisha wawekezaji katika maeneo yenye nishati jadidifu ili kuyaendeleza na hivyo  kuwezesha azma ya nchi kuwa na umeme unaotokana na  vyanzo mchanganyiko. Amesema hayo jijini Dodoma  wakati Wizara ya Nishati ikiwasilisha taarifa kuhusu utekelezaji wa miradi ya Nishati Jadidifu  inayotokana na Jotoardhi, […]

Serikali itaendelea kushirikisha wawekezaji uendelezaji Nishati Jadidifu- Dk. Mataragio Read More »

Dk.Mpango aeleza umuhimu wa Sekta Binafsi kuhusishwa uendelezaji Jotoardhi

Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema Bara la Afrika linapaswa kuunganisha nguvu na kushirikiana ili kuweza kuendeleza ipasavyo nishati ya Jotoardhi ambayo ni safi na endelevu na kuondokana na nishati zisizo safi katika kuzalisha umeme ikiwemo mafuta mazito. Dk.Mpango amesema hayo jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2024 wakati akifungua Kongamano la Jotoardhi

Dk.Mpango aeleza umuhimu wa Sekta Binafsi kuhusishwa uendelezaji Jotoardhi Read More »

Dkt. Mpango atoa kongole juhudi za EWURA, maonesho kongamano la Jotoardhi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, leo tarehe 23 Oktoba 2024, ametembelea Maonesho ya Kongamano la 10 la Jotoardhi yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam. Akiwa katika maonesho hayo, Dk. Mpango alikutana na Kaimu Mkurugenzi wa Umeme kutoka Mamlaka ya Udhibiti

Dkt. Mpango atoa kongole juhudi za EWURA, maonesho kongamano la Jotoardhi Read More »

Kongamano la ARGeo-C10 linalenga kuongeza kasi ya uendelezaji Jotoardhi Afrika- Dk. Mataragio

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dk. James Mataragio, amesema kuwa moja ya malengo ya Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi (ARGeo-C10) linalofanyika nchini Tanzania ni kuwezesha Afrika kuongeza kasi ya uendelezaji wa rasilimali ya Jotoardhi. Amesema rasilimali ya Jotoardhi ikiendelezwa ipasavyo barani Afrika itaweza kutumika kwa namna mbalimbali ikiwemo kuzalisha umeme pamoja na matumizi

Kongamano la ARGeo-C10 linalenga kuongeza kasi ya uendelezaji Jotoardhi Afrika- Dk. Mataragio Read More »

Dereva wa TPA na wenzake 7 washtakiwa kwa wizi wa mafuta Lita milioni 9.9

DEREVA wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ,Tino  Ndekela na wenzake saba, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashitaka 20 liliwemo la wizi wa mafuta ya Petrol na dizel zaidi ya lota milioni 9.9 na kuisababishia hasara Kampuni ya Kimataifa ya kuhifadhi Mafuta (TIPER) Tanzania ya zaidi ya sh bilioni 26. Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni 

Dereva wa TPA na wenzake 7 washtakiwa kwa wizi wa mafuta Lita milioni 9.9 Read More »

Watu 8 wafariki ajalini Mwanza

Watu nane wamefariki dunia na wengine 36 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Nyehunge kugongana na basi la Asante Rabi alfajiri ya saa 12 Oktoba 22,2024 katika eneo la Ukiriguru Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa  amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema

Watu 8 wafariki ajalini Mwanza Read More »

Verified by MonsterInsights