Habari

“Endeleeni kuelimisha umma kuhusu shughuli za Ofisi ya Waziri Mkuu”- Katibu Mkuu Agnes

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Agnes Meena ametoa rai kwa Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waendelee kutoa elimu kwa wananchi kuhusu utendaji wa taasisi na programu mbalimbali zinazosimamiwa na Ofisi hiyo. Kauli hiyo ameitoa leo Agosti 02, 2025 alipotembelea banda la Ofisi hiyo akiwa ameambatanan na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo […]

“Endeleeni kuelimisha umma kuhusu shughuli za Ofisi ya Waziri Mkuu”- Katibu Mkuu Agnes Read More »

Ziara ya Balozi wa Uingereza Moshi yaonesha SBL inavyochangia katika uchumi wa Tanzania

Kilimanjaro, Tanzania, 1 Agosti 2025: Kufuatia ziara yake yenye mafanikio jijini Dar es Salaam mwezi Juni mwaka huu, Marianne Young, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, leo ameendelea na ziara yake kwa kutembelea kiwanda cha Bia cha Serengeti (SBL) kilichopo Moshi. Ziara hiyo imeonesha uhusiano wa karibu wa kiuchumi kati ya Uingereza na Tanzania, huku ikisisitiza

Ziara ya Balozi wa Uingereza Moshi yaonesha SBL inavyochangia katika uchumi wa Tanzania Read More »

PSSSF yashiriki maonesho ya Nanenane Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Tabora

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) unashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya 32 ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi (Nanenane) ya mwaka 2025, yaliyoanza leo Agosti 1, 2025. Kwa mujibu wa Meneja Uhusiano na Elimu kwa Wanachama, PSSSF, Omega Ngole, PSSSF inashiriki kwenye Maonesho yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Nanenane, Nzuguni jijini

PSSSF yashiriki maonesho ya Nanenane Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Tabora Read More »

REA yatoa zaidi ya bilioni 4 kuzalisha umeme wa maji Lupali

📌Utekelezaji wa mradi wafikia asilimia 98 📌Bodi ya nishati Vijijini yasisitiza mradi ukamilike kwa wakati 📌Mradi kupunguza matumizi ya nishati isiyo rafiki na mazingira 📍Njombe Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha shilingi bilioni 4.6 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa maji Lupali wenye uwezo wa kuzalisha kilowati 317 unaotekelezwa na shirika la Benedictine

REA yatoa zaidi ya bilioni 4 kuzalisha umeme wa maji Lupali Read More »

Dk. Mpango ataka vijana waliojiajiri ufugaji samaki wapewe mikopo

Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango ameiagiza Wizara ya Uvuvi kuwawezesha vijana wanaofuga samaki kwa kutumia vizimba ili wapate mitaji mikubwa ya kuwawezesha kuyafikia masoko ya kimataifa. Pia ameiagiza Wizara hiyo kuweka mkakati kabambe wa kuwatangaza kwenye vyombo mbalimbali vya habari ili wawe ushuhuda kwa vijana wengine wavutiwe na waweze kujiajiri. Dk Mpango alitoa maagizo

Dk. Mpango ataka vijana waliojiajiri ufugaji samaki wapewe mikopo Read More »

Serikali yazindua mwongozo wa kutokomeza utumikishwaji wa watoto kwenye Kilimo

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imezindua Mwongozo wa Kutokomeza Utumikishwaji wa Watoto katika Sekta ya Kilimo, ukiwa na lengo la kuimarisha utekelezaji wa sheria za kazi na kulinda haki za watoto. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa uzinduzi, Kamishna wa Kazi, Suzan Mkangwa, alisema takwimu za mwaka 2024 zinaonesha watoto takriban milioni 5 (asilimia 25)

Serikali yazindua mwongozo wa kutokomeza utumikishwaji wa watoto kwenye Kilimo Read More »

COSTECH yataka kasi iongezwe ujenzi wa jengo la sayansi Dodoma

Na Mwandishi WetuMwenyekiti wa Kamisheni ya COSTECH, Prof. John Kondolo, amemtaka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi wa Jengo la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (STU) jijini Dodoma, ili likamilike Machi 2026 kama ilivyopangwa. Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi, Prof. Kondolo alisema ameridhishwa na ubora na viwango vya ujenzi, akieleza kuwa jengo hilo litakuwa na hadhi

COSTECH yataka kasi iongezwe ujenzi wa jengo la sayansi Dodoma Read More »