Habari

Watanzania milioni 26 wajiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa-Mchengerwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kufikia Oktoba 19, 2024, Jumla ya watanzania wenye sifa Milioni 26, 769,995 sawa na asilimia 81% wamejiandikisha kwenye daftari la Mpigakura, tayari kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Waziri Mchengerwa ametoa takwimu […]

Watanzania milioni 26 wajiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa-Mchengerwa Read More »

Kongamano la Kitaifa la Jotoardhi laanza kwa mafanikio Dar es Salaam

Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) limeanza kwa mafanikio jijini Dar es Salaam ambapo Wataalam takriban 800 kutoka 21 duniani wameshiriki. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga wakati akifungua mafunzo kuhusu masuala mbalimbali ya Jotoardhi kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ikiwa

Kongamano la Kitaifa la Jotoardhi laanza kwa mafanikio Dar es Salaam Read More »

ATE na ILO wazindua Ripoti ya ESG, wabaini changamoto mazingira ya jamii na utawala

RIPOTI ya utafiti uliyochunguza mazingira ya Jamii na Utawala (ESG) nchini Tanzania imebaini changamoto nane kuu, ambapo kizuizi kikubwa ni mtazamo ulioenea kuhusu maendeleo endelevu. Ripoti hiyo iliyopewa jina ‘Hali ya ESG nchini Tanzania’ uliofanywa na Shirikisho la Waajiri Tanzania (ATE) kwa kushiikiana na shirika la Kazi Duniani (ILO) umeonyesha umuhimu wa mabadiliko ya kitamaduni

ATE na ILO wazindua Ripoti ya ESG, wabaini changamoto mazingira ya jamii na utawala Read More »

Kamati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaja Bara kujifunza Usalama na Afya kazini

KAMATI ya Kudumu ya Utalii, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imetembelea Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) pamoja na baadhi ya viwanda vinavyosimamiwa na OSHA lengo likiwa ni kujifunza mfumo wa usimamizi wa masuala ya usalama na afya kwa upande wa Tanzania Bara ili kushauri maboresho stahiki kwa upande

Kamati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaja Bara kujifunza Usalama na Afya kazini Read More »

Balozi Nchimbi ajiandikisha kupiga kura serikali za mitaa, atoa wito watu kujitokeza kwa wingi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024. Akizungumza baada ya kujiandikisha, Balozi Nchimbi aliwasisitiza wananchi umuhimu wa kujitokeza kwa wingi kuandikishwa, akisema kuwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha ushiriki wao kwenye mchakato

Balozi Nchimbi ajiandikisha kupiga kura serikali za mitaa, atoa wito watu kujitokeza kwa wingi Read More »

Tuondokane na matumizi ya Nishati isiyo safi kulinda afya zetu- Mwanaidi 

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,  Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao. Khamis ameyasema hayo Jijini Dodoma  wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza kupika kisasa kwa kutumia nishati iliyo safi. “Jamii ihamie katika

Tuondokane na matumizi ya Nishati isiyo safi kulinda afya zetu- Mwanaidi  Read More »