Nishati Safi ya kupikia itaondoa kadhia za kuni na mkaa kwa watu wenye mahitaji maalum- Nderiananga
Naibu Waziri Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga amesema kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia yanaenda kuwaokoa watu wenye mahitaji maalum na kadhia zinazotokana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia ikiwemo kuni na mkaa. Amesema kadhia hizo wanazipata nyakati za utafutaji na utumiaji wa nishati hizo zisizo […]