Habari

DAWASA yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ili wanatatua na kuboresha huduma. Akizungumza na vyombo vya habari, Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja DAWASA, CPA (T) Rithamary […]

DAWASA yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma Read More »

Tanzania yashiriki Mkutano wa Maendeleo endelevu wa Hamburg Ujerumani (Hamburg Sustainability Conference)

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo Endelevu (Hamburg Sustainability Conference) unaofanyika Hamburg Ujerumani ambao umefunguliwa rasmi na Chancellor wa Ujerumani Olaf Scholz leo Oktoba 07, 2024. Kwenye mkutano huo, Aweso ameandamana na Hassani Iddi Mwamweta, Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani. Mkutano huo umewakutanisha Marais, Mawaziri

Tanzania yashiriki Mkutano wa Maendeleo endelevu wa Hamburg Ujerumani (Hamburg Sustainability Conference) Read More »

Biteko aipongeza Wizara Ya Madini kwa mpango wa kuongeza akiba ya dhahabu nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko ameipongeza Wizara ya Madini kwa mkakati wanaoutekeleza ambao unawazesha upatikanaji wa akiba ya Dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania jambo ambalo ni muhimu kwa maendeleo ya Uchumi wa Tanzania. Hayo yamesemwa jana Oktoba 05 2024 wakati wa ufunguzi wa maonesho ya saba ya

Biteko aipongeza Wizara Ya Madini kwa mpango wa kuongeza akiba ya dhahabu nchini Read More »

Tanzania, Hungary kushirikiana katika kuboresha sekta ya maji nchini

Waziri wa Maji, Juma Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mha. Mwajuma Waziri wamekutana na Balozi wa Hungary mwenye makazi yake Nairobi Kenya Zsolt Meszaros akiwa na ujumbe kutoka Hungary. Kikao hicho kilichofanyika katika ofisi za DAWASA Dar es Salaam kimelenga kupanua wigo wa Mashirikiano na Serikali ya Hungary hususani katika sekta ya Maji.

Tanzania, Hungary kushirikiana katika kuboresha sekta ya maji nchini Read More »

Uwepo wa umeme vijijini uchagiza matumizi ya Nishati safi ya kupikia- Mhagama

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufikisha umeme hadi maeneo ya Vijijini zinapelekea wananchi kupika kwa kutumia nishati iliyo safi kupitia majiko yanayotumia umeme kidogo. Mhagama ameyasema hayo jijini Dodoma wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza kupika kisasa kwa kutumia Nishati Safi

Uwepo wa umeme vijijini uchagiza matumizi ya Nishati safi ya kupikia- Mhagama Read More »

Makandarasi wametakiwa kuwa na uwazi wa thamani za ujenzi wa miradi katika mikataba yao

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi CRB, Mhandisi Joseph Nyamhanga ametoa wito kwa Makandarasi wote kuwa na uwazi wa thamani ya miradi ya ujenzi wanayotekeleza kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zote zinazoongoza shughuli za ujenzi hapa nchini. Ametoa wito huo wakati wa ziara ya Bodi ya Wakurugenzi  na Menejimenti CRB ya kutembelea Mradi

Makandarasi wametakiwa kuwa na uwazi wa thamani za ujenzi wa miradi katika mikataba yao Read More »

DAWASA shirikianeni na Jumuiya za Wananchi kuboresha huduma za maji – Waziri Aweso

Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameielekeza Mamlaka ya  Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kushirikiana na jumuiya za watumia maji katika uboreshaji wa huduma za maji katika jamii kwa kuweka taratibu wezeshi za usimamizi na uendeshaji wa miradi ya jumuiya hizo ili wananchi waweze kupata huduma endelevu. Mhe. Aweso ametoa maelekezo

DAWASA shirikianeni na Jumuiya za Wananchi kuboresha huduma za maji – Waziri Aweso Read More »

NMB yakabidhi madawati, vitanda na magodoro vya mil. 60/- Muheza

Naibu waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko amewataka wazazi na walezi Nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi iliyo bora ili kupata Taifa bora na viongozi bora wa kesho huku akiipongeza benki ya NMB kwa kushirikiana na serikali kuboresha sekta ya elimu Nchini. Alisema kuwa iwapo watalelewa

NMB yakabidhi madawati, vitanda na magodoro vya mil. 60/- Muheza Read More »

Tatizo la ajira ni kushindwa kwa serikali ya CCM

Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa watanzania kuungana kuilazimisha Serikali kutekeleza wajibu wake katika kushughulikia tatizo la ajira nchini na kuhakikisha Serikali inaondoa mazingira kandamizi kwa watu wanaofanya shughuli zao za kujipatia kipato. Aidha, chama kimewataka vijana na wazazi kutumia uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu ujao 2025 kuiangusha CCM kwa

Tatizo la ajira ni kushindwa kwa serikali ya CCM Read More »