Habari

Lukuvi atembelea Mradi wa Ujenzi wa Mfereji Mkombozi, Pawaga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) Isimani amesema Mfereji Mkubwa wa Umwagiliaji wa Mkombozi unaojengwa na Serikali katika Bonde la Pwaga utakuwa msaada mkubwa kwa wananchi katika kujishughulisha na kazi za kilimo. Waziri ametoa kauli hiyo katika ziara yake ya kutembelea Miradi ya Maendeleo na kufanya […]

Lukuvi atembelea Mradi wa Ujenzi wa Mfereji Mkombozi, Pawaga Read More »

Nishati Safi ya kupikia italeta mageuzi makubwa ulindaji wa mazingira- Mahundi

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi amesema nchi inakwenda kushuhudia mageuzi makubwa ya utunzaji wa mazingira kupitia Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambao kinara wake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan.  Mahundi ameyasema hayo Jijini Dodoma  wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi

Nishati Safi ya kupikia italeta mageuzi makubwa ulindaji wa mazingira- Mahundi Read More »

Utekelezaji miradi ya maendeleo uzingatie vipaumbele vya wananchi- Kapinga

Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Judith Kapinga amesema dhamira ya Serikali ni kuona wananchi wanashirikishwa katika kufanya maamuzi ya maendeleo katika maeneo yao.  Aidha, Viongozi katika ngazi mbalimbali wahakikishe maamuzi hayo yanazingatia  mipango na programu zinazoakisi hali halisi ya wananchi, mahitaji yao pamoja na  vipaumbele. Kapinga amesema hayo leo

Utekelezaji miradi ya maendeleo uzingatie vipaumbele vya wananchi- Kapinga Read More »

‘Waliotumwa na afande’ wahukumiwa kifungo cha maisha gerezani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo

‘Waliotumwa na afande’ wahukumiwa kifungo cha maisha gerezani Read More »

NMB ‘yakazia’ Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi Jumuishi kwa Wanawake

Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi Jumuishi kwa Wanawake yaliyofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, yamefungwa Ijumaa Septemba 27, huku washiriki wakitakiwa kuweka alama chanya kwenye maisha ya wanaowaongoza, pamoja na kuwapa nafasi ya kuonesha uwezo wao. Mafunzo hayo yaliyoshirikisha wanawake viongozi kutoka Taasisi za Umma, Taasisi Binafsi, Wizara na Idara

NMB ‘yakazia’ Mafunzo ya Uongozi na Usimamizi Jumuishi kwa Wanawake Read More »

Ado: Shida ya Maji Kanda ya Ziwa ni Ishara ya Serikali Kupuuza Wananchi

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametupia lawama serikali kwa kushindwa kuwahakikishia upatikanaji wa maji wananchi wa kanda ya ziwa licha ya kanda hiyo kuzungukwa na Ziwa Victoria. Ziwa Victoria ni ziwa lapili kwa ukubwa lenye majitamu duniani ambapo limezunguka Nchi kadhaa ikiwa ni pamoja na Tanzania, Kenya, Uganda. Sehemu kubwa ya

Ado: Shida ya Maji Kanda ya Ziwa ni Ishara ya Serikali Kupuuza Wananchi Read More »