Habari

Rais Samia ahutubia zaidi ya wananchi 30,000 waliofurika Uwanja wa Majimaji Songea Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo September 28,2024 amehitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoa wa Ruvuma kwa kuhutubia Maelfu ya Wananchi waliofurika Uwanja wa Majimaji Songea kwenye Mkutano wa hadhara wa kuagana na Wananchi wa Mkoa huo. Rais Dkt. Samia amesema Ziara yake Mkoani humo iliyoanza September 23,2024 imekuwa na […]

Rais Samia ahutubia zaidi ya wananchi 30,000 waliofurika Uwanja wa Majimaji Songea Ruvuma Read More »

Wakati umefika wa Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya kupikia – Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kutoathiri afya na mazingira kutokana na matumizi ya nishati zisizo safi kama kuni na mkaa. Dk. Samia aliyasema hayo Septemba 27, 2024 wakati akizindua Shule ya Sekondari ya

Wakati umefika wa Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya kupikia – Samia Read More »

Hakimu amuonya wakili wa utetezi kwa kuchelewesha kesi, asema lazima kesi ifike mwisho

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Aaron Lyamuya, ameelezea kukerwa na tabia ya wakili wa utetezi kwenye kesi ya jinai, Edward Chuwa kutaka kesi iahirishwe mara kwa mara. “Hivi siyo vitu vya kutengeneza vipo kwenye rekodi za mahakama, hili shauri lazima liishe hatuwezi kuja hapa kila siku tunakaa tu

Hakimu amuonya wakili wa utetezi kwa kuchelewesha kesi, asema lazima kesi ifike mwisho Read More »

Kayombo-Jitokezeni kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini John Kayombo ametoa wito kwa wananchi wa jimbo hilo, wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kujiandikisha katika daftari la wapiga kura, ambalo litafanyika kuanzia Oktoba 11 hadi Oktoba 20 kwenye vituo vilivyopangwa. Aidha msimamizi huyo amewahamasisha  wananchi wenye sifa za kugombea

Kayombo-Jitokezeni kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura Read More »

“Tumeridhika thamani ya fedha mradi wa maabara ya kisasa ya kupima ubora wa maji”- Boisafi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro Patrick Boisafi akiwa ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wametembelea mradi wa Maabara ya kisasa ya kupima ubora wa maji ambao umetekelezwa na wataalamu wa ndani kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mradi huo mbele

“Tumeridhika thamani ya fedha mradi wa maabara ya kisasa ya kupima ubora wa maji”- Boisafi Read More »