Habari

Dk. Biteko azitaka wizara, taasisi na wakala serikalini kutenga bajeti ya kutosha – SHIMIWI

Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi malengo na misingi ya kuanzishwa kwa kwa michezo hiyo na kuleta tija. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]

Dk. Biteko azitaka wizara, taasisi na wakala serikalini kutenga bajeti ya kutosha – SHIMIWI Read More »

Makandarasi wametakiwa kuzingatia misingi na mipango mizuri katika utekelezaji miradi ya ujenzi 

Makandarasi wameaswa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zote zinazoongoza shughuli za ujenzi hapa nchini ikiwemo kulipa ada za mwaka za usajili, kusajili miradi ya ujenzi ikiwa ni takwa la kisheria, kuzingatia usalama wa maeneo ya kazi. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo ya Mipango na Udhibiti wa Miradi ya Ujenzi (Construction Planning, Organisation and Control) yanayofanyika

Makandarasi wametakiwa kuzingatia misingi na mipango mizuri katika utekelezaji miradi ya ujenzi  Read More »

Mkakati matumizi ya maji kwa kuzingatia mahitaji ya kila sekta umeleta mafanikio- Kapinga

Imeelezwa kuwa, Mkakati wa ushirikiano uliowekwa na Wizara zinazohusika na Sekta ya Maji ili kutoa elimu ya kulinda vyanzo vya maji pamoja na kushirikiana na jamii kulinda vyanzo hivyo umeonesha mafanikio. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameyasema hayo leo Septemba 24, 2024 mkoani Ruvuma wakati  Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipozindua mradi wa

Mkakati matumizi ya maji kwa kuzingatia mahitaji ya kila sekta umeleta mafanikio- Kapinga Read More »

TBL, Red Cross Society wazindua mafunzo na elimu kwa waendesha pikipiki Dar

Tanzania Breweries Limited (TBL), kwa kushirikiana na Tanzania Red Cross Society (TRCS), inajivunia kutangaza uzinduzi wa Mpango wa Mafunzo na Elimu kwa Waendesha Pikipiki. Mradi huu utaendeshwa kuanzia Septemba hadi Desemba 2024 na unalenga kupunguza ajali za barabarani zinazohusisha waendesha pikipiki kupitia programu ya kina ya elimu na mafunzo inayolenga kuimarisha uelewa, kuboresha ujuzi wa

TBL, Red Cross Society wazindua mafunzo na elimu kwa waendesha pikipiki Dar Read More »

PPAA yafanya tathmini ya Moduli ya kuwasilisha malalamiko/rufaa kieletroniki

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeanza kufanya tahmini ya kutumia Moduli ya kupokea na kuwasilisha malalamiko na rufaa kieletroniki katika Mfumo wa Ununuzi wa Umma Kieletroniki (NeST). Kufanyika kwa tahmini hiyo ni kuashiria kuwa muda si mrefu moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko itaanza rasmi kutumika kama ilivyokuwa imekusudiwa. Akifungua kikao kazi

PPAA yafanya tathmini ya Moduli ya kuwasilisha malalamiko/rufaa kieletroniki Read More »