Habari

Naibu Kadhi Mkuu, Ali Khamis Ali ampongeza Shiraz kwa kujenga Msikiti Dar

Naibu Kadhi Mkuu, Ali Khamis Ali amempongeza mfanyabiashara Shiraz Rashid kwa kujitolea kujenga Msikiti wa Imam Ali Bin Abu Talib eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam. Alitoa pongezi hizo mwishoni mwa wiki wakati wa hafla ya uzinduzi wa Msikiti huo hafla ambayo ilihudhuriwa na wageni mbalimbali mbali wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao. Alisema lengo

Naibu Kadhi Mkuu, Ali Khamis Ali ampongeza Shiraz kwa kujenga Msikiti Dar Read More »

Madalali wa Mahakama waaswa kutekeleza vema majukumu yao ili kuepuka kulalamikiwa     

Msajili wa Mahakama ya Rufani George Herbert ametoa wito kwa madalali na wasambaza nyaraka za Mahakama kutekeleza vema majukumu yao ili kuepuka malalamiko ya wananchi ambayo yataleta athari hasi kwa Mahakama, wao binafsi, familia na taifa kwa ujumla. Herbert ametoa wito huo wakati akifungua mafunzo ya 13 ya watu wenye nia ya kufanya kazi ya

Madalali wa Mahakama waaswa kutekeleza vema majukumu yao ili kuepuka kulalamikiwa      Read More »

Machifu wampongeza Dk. Samia kwa kuenzi utamaduni

VIONGOZI wa Kimila kutoka mikoa mbalimbali nchini, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha Tamasha la Utamaduni la Kitaifa pamoja na kuongeza thamani ya viongozi wa mila iliyoonekana kushuka kwa miaka mingi. Wamesema hatua hiyo ya kuthamini, kufufua misingi na kuenzi tamaduni zilizokuwa zimeanza kuwekwa kando itasaidia kwa kiwango kikubwa kulinda maadili na tamaduni za

Machifu wampongeza Dk. Samia kwa kuenzi utamaduni Read More »

Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa kabla ya 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta mazito. Ametoa agizo hilo tarehe 19 Septemba 2024 mkoani Kigoma

Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa kabla ya 2025 Read More »

REA yatumia zaidi ya bil. 100 kutekeleza miradi ya umeme vijijini Kigoma

📌 Bodi ya Nishati Vijijini (REB) yakagua miradi ya REA Mkoa wa Kigoma 📌 Wakandarasi watakaochelewa kumaliza miradi kwa wakati kuchukulia hatua za kimkataba 📌Vijiji 279 kati ya 306 vyapata umeme Kigoma Katika kuendelea kuboresha maisha ya wananchi Vijijini, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetumia zaidi ya Shilingi Bilioni 100 kutekeleza miradi ya kupeleka umeme

REA yatumia zaidi ya bil. 100 kutekeleza miradi ya umeme vijijini Kigoma Read More »