Habari

Dk. Biteko kuweka jiwe la msingi mradi bwawa kuzalisha umeme Kigoma

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, kesho anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi, mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Neema Mbuja, kukamilika kwa bwawa hilo kutawezesha kuzalishwa […]

Dk. Biteko kuweka jiwe la msingi mradi bwawa kuzalisha umeme Kigoma Read More »

Serikali itumie TFC kumaliza tatizo la bei na usambazaji mbolea nchini

Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuiwezesha Kampuni ya Taifa ya Mbolea (TFC) kwa mtaji ili kutatua tatizo la ucheleweshaji wa mbolea na uwepo wa mbolea isiyokuwa na ubora na kukabiliana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini. Pia, chama kimeitaka serikali kulipa madeni yote inayodaiwa na kampuni zilizopewa kazi ya kusambaza mbolea ya ruzuku

Serikali itumie TFC kumaliza tatizo la bei na usambazaji mbolea nchini Read More »

Benki ya NMB yapiga jeki Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge Makete

Benki ya NMB imekabidhi vifaatiba ikiwemo vitanda na mashuka katika Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge wilayani Makete mkoani Njombe vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Willy Mponzi amesema benki hiyo kila mwaka imekuwa

Benki ya NMB yapiga jeki Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge Makete Read More »

Kaburi la Chifu wa Wangoni aliyezikwa na wasaidizi wake wawili wakiwa hai kuvutia wageni

WATU zaidi ya 5,000 wanatarajiwa kushiriki katika Tamasha la tatu la utamaduni kitaifa litakalofanyika Septemba 20-23, mwaka huu mkoani Ruvuma. Tamasha hilo litatoa fursa nyingi za biashara kwa wananchi wa Mkoa huo kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Songea, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro alisema

Kaburi la Chifu wa Wangoni aliyezikwa na wasaidizi wake wawili wakiwa hai kuvutia wageni Read More »

Msifate mkumbo barabarani-Mufti

Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally Mbwana amewataka Waislamu kote Nchini kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vitakavyopelekea uvunjifu wa amani ya Nchi. Mufti amesema hayo katika Sherehe za Maulid ya Kitaifa iliyofanyika katika Viwanja vya Kalangalala Mjini Geita ambapo maelfu ya Waisalmu wamehudhuria akiwemo Mkuu wa

Msifate mkumbo barabarani-Mufti Read More »

Vijiji 12,333, Vitongiji 64,274, Mitaa 4,269 kuhusika uchaguzi mdogo-Mchengerwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Vijiji 12,333, Mitaa 4,269 na Vitongoji 64,274 kuwa vitashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo, Mchengerwa amewaambia wanahabari kuwa orodha hiyo imejumuisha maeneo yaliyokuwa yamefutwa

Vijiji 12,333, Vitongiji 64,274, Mitaa 4,269 kuhusika uchaguzi mdogo-Mchengerwa Read More »