Habari

Ado: Tutasimamia ardhi ya wananchi Mafia iliyoporwa na mwekezaji itarejeshwa

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amewaeleza wananchi wa vijiji vya Kata za Ndagoni, Baleni na Kirongwe kwamba chama kitasimama nao ili kukabiliana na jaribio la kuporwa kwa ardhi na mwekezaji kwa msaada wa viongozi wa Wilaya ya Mafia. Ametoa msimamo huo akiwa katika ziara kwenye jimbo la Mafia mkoani Pwani jana

Ado: Tutasimamia ardhi ya wananchi Mafia iliyoporwa na mwekezaji itarejeshwa Read More »

Utouh aishauri ATCL kununua ndege ndogo kuboresha safari za ndani

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wajibu, inayojihusisha na kukuza mazingira ya uwajibikaji wa Umma nchini Tanzania, Ludovic Utouh, amelishauri Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kuongeza ununuzi wa ndege ndogo kwa ajili ya safari za ndani kama hatua muhimu ya kuboresha sekta ya usafiri wa anga nchini. Utouh ambaye aliwahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu

Utouh aishauri ATCL kununua ndege ndogo kuboresha safari za ndani Read More »

Zitto: Bandari ya Mbamba bay ni bandari ya kimkakati iharakishwe

Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametuma salamu kwa Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa kumtaka afuatilie na kuhakikisha Mradi wa Bandari ya Mbamba bay unakamilika ili kuchochea uchumi wa Ruvuma. “Tumechoka kusikia kila siku mkandarasi yupo site tunataka bandari ikamilike. Tukikamilisha Ujenzi wa Bandari ya Mbamba bay na ijengwe Reli kutoka Bandari ya Mtwara

Zitto: Bandari ya Mbamba bay ni bandari ya kimkakati iharakishwe Read More »