Habari

Dkt. Mwigulu aipongeza PPAA kuanzisha Moduli ya kupokea Rufaa Kieletroniki

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia ya kieletroniki. Dkt. Mwigulu ametoa pongezi hizo alipotembelea banda la PPAA katika viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), na kusema kuwa anaamini moduli hiyo itaisaidia kupata thamani halisi […]

Dkt. Mwigulu aipongeza PPAA kuanzisha Moduli ya kupokea Rufaa Kieletroniki Read More »

Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya Maji kwa ubunifu wa Hatifungani ya Tanga Uwasa

Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Jackson Kiswaga imetoa pongezi kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso na Menejimenti ta Wizara ya maji pamoja na kuimwagia sifa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TANGA UWASA ) kwa ubunifu na uuzaji wa Hatifungani ya kijani ambayo imewezesha upatikanaji wa

Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya Maji kwa ubunifu wa Hatifungani ya Tanga Uwasa Read More »

Mahakama kuanza kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya mafundi wa TRA,wakabiliwa na mashtaka 574

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, inatarajia kusikiliza mashahidi 40 na kupokea vielelezo 480 katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili wakazi wanne wa Dar es Salaam, wanaodaiwa kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya Sh milioni 971.7 Washitakiwa hao Frank Kagale, fundi wa mashine za kielektroniki za EFD, Awadhi Mhavile (39) Ally Msesya maarufu kama

Mahakama kuanza kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya mafundi wa TRA,wakabiliwa na mashtaka 574 Read More »

Dorothy Semu: Hakuna watu wasiojulikana Rais aunde Tume ya Kijaji kuchunguza

Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa masuala ya utekaji na kupokea kwa watu hayapaswi kufumbiwa macho. Amesema …”Hakuna watu wasiojulikana, kuna kundi linakamata watu, linaua watu na kuwatesa kwasababu wanazojua wao, vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kutupa majibu ya kinagaubaga”  Kiongozi huyo ameendelea kusema  kuwa “Tunataka majibu, Tunataka Rais wa

Dorothy Semu: Hakuna watu wasiojulikana Rais aunde Tume ya Kijaji kuchunguza Read More »

Madini ya dhahabu kilo 15.78 yakamatwa bandarini yakitoroshwa

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ametangaza kukamatwa kwa madini ya dhahabu kilo 15.78 bandarini yalipokuwa yakitoroshwa. Ameyasema hayo leo Septemba,11, 2024 Jijini Dar es Salaam alipokutana na alipozungumza na vyombo vya habari kuuhabarisha umma wa Watanzania juu ya tukio hilo. “Nchi yetu inazo sekta kadhaa za uzalishaji ambazo mapato yake ndiyo msingi wa maendeleo ya

Madini ya dhahabu kilo 15.78 yakamatwa bandarini yakitoroshwa Read More »

PPAA yatoa elimu Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki katika Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma la Afrika Mashariki Jijini Arusha. Kongamano hilo lilianza tarehe 9 – 12 Septemba 2024.  Aidha, katika kongamano hilo, PPAA imeshiriki pia kufanya maonesho ya kutoa elimu kuhusu majukumu, malengo na mafanikio yake kwa umma na wadau wa sekta

PPAA yatoa elimu Kongamano la 16 la Ununuzi wa Umma Afrika Mashariki Read More »

Dkt. Biteko ashuhudia makabidhiano leseni ya uendelezaji Gesi Asilia Kisima cha Ruvuma

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini ili watanzania wanufaike na rasilimali zilizopo. Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 10, 2024 wakati wa Hafla ya makabidhiano ya leseni ya uendelezaji eneo la uzinduzi wa Gesi kati ya

Dkt. Biteko ashuhudia makabidhiano leseni ya uendelezaji Gesi Asilia Kisima cha Ruvuma Read More »