CCM yarejesha wagombea wa udiwani kura za maoni
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imeelekeza kwamba wagombea wote wa udiwani waliopitishwa na Kamati za Siasa za mikoa warejeshwe kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni upya. Katika hatua hiyo, pia imeelekezwa kuwa wagombea wote waliokuwa kwenye orodha ya awali iliyopelekwa kwa makatibu wa CCM wa mikoa yote, nao warejeshwe […]
CCM yarejesha wagombea wa udiwani kura za maoni Read More »