Habari

Aweso awasha moto Mwanza, ataka kazi ujenzi mradi Buhongwa ifanyike usiku na mchana

Waziri wa Maji Juma Aweso jana ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa kuboresha wingi wa maji kata za Buhongwa na Lwanhima na kuelekeza wananchi wa maeneo haya kupata Maji haraka ndani ya wiki hii. Mradi huu una gharama ya Tshs. Milioni 864.816. Mradi huu utanufaisha wakazi wa mitaa ya Sahwa ya chini, Sahwa ya

Aweso awasha moto Mwanza, ataka kazi ujenzi mradi Buhongwa ifanyike usiku na mchana Read More »

Rostam Aziz atoa tamko kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA

Mfanyabiashara maarufu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini, Rostam Aziz, ameungana na Watanzania wengine kulaani vikali mauaji ya kiongozi wa chama cha Chadema, Mohamed Ali Kibao, yaliyotokea hivi karibuni. Katika tamko lake, Rostam ameelezea masikitiko yake makubwa kufuatia tukio hilo la kikatili, akisema ni hatua ya kurudi nyuma kwa Taifa. “Nchi yetu imejengwa

Rostam Aziz atoa tamko kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Read More »

Silaa awataka wana-CCM Ukonga kunadi maendeleo ya Dkt. Samia

Mbunge wa Jimbo la Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo hilo, kushirikiana na kuyasema mambo mazuri yote yanayofanywa na Serikali, ikiwepo utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan

Silaa awataka wana-CCM Ukonga kunadi maendeleo ya Dkt. Samia Read More »

Rais aagiza kupatiwa taarifa ya uchunguzi wa mauaji ya Kibao

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza vyombo vya uchunguzi kumpelekea taarifa ya mauaji ya Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mohamed Ali Kibao. Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa Septemba 8,2024 katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii ametoa maelekezo hayo akieleza kusikitishwa kwa tukio hilo. “Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi

Rais aagiza kupatiwa taarifa ya uchunguzi wa mauaji ya Kibao Read More »

Tuunge mkono jitihada za Dk. Samia matumizi Nishati Safi ya Kupikia- Kapinga

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.  Kapinga  ameyasema hayo leo Septemba 08, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa Tamasha la AZIMIO LA KIZIMKAZI  ambalo limetumika kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi

Tuunge mkono jitihada za Dk. Samia matumizi Nishati Safi ya Kupikia- Kapinga Read More »

Wizara ya Nishati endeleeni kuusimamia Mradi wa JNHPP ipasavyo-Kamati ya Bunge

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Wizara ya Nishati kuendelea kuusimamia ipasavyo Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Julius Nyerere (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Hayo yalielezwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Kirumbe Ng’enda Septemba 07, 2024 wakati wa ziara ya kukagua hatua za utekelezaji wa mradi huo ambao utaingiza megawati

Wizara ya Nishati endeleeni kuusimamia Mradi wa JNHPP ipasavyo-Kamati ya Bunge Read More »