Wananchi wengine 228 wahama Ngorongoro
Katika muendelezo wa hamasa ya wananchi wa Ngorongoro kujiandikisha kuhama kwa hiari, leo Septemba 07, 2024 jumla ya kaya 58 zenye wananchi 228 na mifugo 350 wamehama katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Kijiji cha Msomera na maeneo mengine waliyochagua katika wilaya za Monduli, Meatu na Simanjiro. Akitoa taarifa wakati wa kuaga kundi la […]
Wananchi wengine 228 wahama Ngorongoro Read More »