Habari

OSHA yakumbushia umuhimu wa usalama na afya kazini kwa waajiri, wafanyakazi

WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeelezea umuhimu wa kulinda uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika rasilimali watu kuanzia wanapozaliwa hadi kufikia hatua ya kuajiriwa au kujiajiri katika shughuli mbalimbali za kiuchumi. Umuhimu huo umeelezwa Jana Jijini Arusha na Mtendaji Mkuu wa OSHA,Khadija Mwenda, alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu masuala ya Usalama na […]

OSHA yakumbushia umuhimu wa usalama na afya kazini kwa waajiri, wafanyakazi Read More »

PSSSF yatoa huduma kwenye kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma AICC-Arusha

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umeweka kambi kwenye viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), ili kutoa huduma kwa wajumbe wa Kikao Kazi cha Wenyeviti na Wakuu wa Taasisi za Umma kilichofunguliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 28, 2024. Kwa mujibu wa Meneja wa

PSSSF yatoa huduma kwenye kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma AICC-Arusha Read More »

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaipongeza NSSF kwa mafanikio katika utendaji

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mwanaasha Khamis Juma wameupongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa mafanikio makubwa uliyopata katika utekelezaji wa majukumu yake ya msingi ambayo ni kuandikisha wanachama, kukusanya michango, kuwekeza na kulipa mafao. Mwanaasha ametoa pongezi hizo wakati walipofanya ziara ya kikazi

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaipongeza NSSF kwa mafanikio katika utendaji Read More »

REA yawapongeza,yawashukuru waratibu wa miradi ya Nishati vijijini

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewapongeza na kuwashukuru Waratibu wa Miradi ya Nishati vijijini kwa uzalendo na juhudi zao zilizowezesha mradi wa kupeleka umeme vijijini kufanikiwa na kukamilika katika ubora uliotarajiwa. Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 27, Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Mipango na Utafiti REA, Mhandisi Godfrey Chibulunje kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wakati

REA yawapongeza,yawashukuru waratibu wa miradi ya Nishati vijijini Read More »

Kapinga aeleza juhudi za serikali kusambaza vituo vya CNG nchini

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC), inajenga vituo vya kujazia gesi kwenye magari (CNG) mkoani Dar es Salaam (viwili) na mkoani Pwani (kimoja) huku TPDC ikiendelea na ununuzi wa vituo vidogo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyohamishika ambavyo vitasimikwa

Kapinga aeleza juhudi za serikali kusambaza vituo vya CNG nchini Read More »

Kamishina Jenerali Lyimo aongoza kuteketeza hekari 1,165 za mashamba ya bangi Morogoro

MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA )imeteketeza jumla ya ekari 1,165 za mashamba ya Bangi pamoja na kukamata kilogramu 102 za mbwgi za bangi katikavijiji vya Mafumbo na Lujenge mkoani Morogoro. Akizungumza Kamishna Jenerali wa mamlaka hiyo (DCEA)Aretas Lyimo baada ya uteketezaji huo alisema mashamba hayo yalikua yamelimwa pembezoni mwa mto Mbakana,Misigiri,

Kamishina Jenerali Lyimo aongoza kuteketeza hekari 1,165 za mashamba ya bangi Morogoro Read More »

REA yawapa tuzo wakandarasi waliofanya vizuri miradi ya Peri Urban III

Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imewapa tuzo na vyeti maalum Wakandarasi waliofanya vizuri kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) kote nchini ndani ya muda uliopangwa na kwa ubora unatakiwa. Awali, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi, Hassan, Saidy alisema utendaji madhubuti (Performance) na kukamilisha Miradi ya

REA yawapa tuzo wakandarasi waliofanya vizuri miradi ya Peri Urban III Read More »

Uwepo wa TAWA waongeza hadhi ya Tamasha la Kizimkazi – Kikeke

Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi na Redio/TV ya Crown FM/TV iliyopo nchini, Salim Kikeke amesema uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini – TAWA katika Tamasha la Kizimkazi umekuwa chachu

Uwepo wa TAWA waongeza hadhi ya Tamasha la Kizimkazi – Kikeke Read More »