Uongezaji thamani madini ni kipaumbele cha Serikali – Dk.Kiruswa
Naibu Waziri wa Madini, Dk. Kiruswa, amesema Uongezaji Thamani Madini ni moja ya vipaumbele vikuu vya Wizara, ambapo msukumo mkubwa umewekwa kupitia Sera ya Madini ya Mwaka 2009 na kuongeza kwamba, Sheria ya Madini inaelekeza kuhakikisha kuwa madini yanaongezwa thamani ndani ya nchi ili kuongeza manufaa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Dk. Kiruswa ameyasema […]
Uongezaji thamani madini ni kipaumbele cha Serikali – Dk.Kiruswa Read More »










