Habari

Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar

Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye kijiji cha kizimkazi wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini Kisiwani Zanzibar. Katika tamasha hilo la Kizimkazi Wizara na taasisi zinatoa elimu ya utekelezaji wa Sera ya Nishati ya mwaka 2015 pamoja na kutoa huduma kwa wananchi hususani katila utekelezaji

Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar Read More »

Vijiji vitano vyalipwa bilioni 2 za mrabaha kutokana na uzalishaji dhahabu Nyamongo-Tarime

Waziri wa Madini,Anthony Mavunde ataka fedha zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi. Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wilayani Tarime mkoani Mara wakati wa hafla fupi ya

Vijiji vitano vyalipwa bilioni 2 za mrabaha kutokana na uzalishaji dhahabu Nyamongo-Tarime Read More »

Wizara ya Madini kuibuka na miradi mikubwa ya kimkakati

Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa Agosti 13, 2024 jijini Dodoma na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Ramadhan Lwamo wakati akiwasilisha taarifa kuhusu hali ya ulipaji wa fidia kwa wananchi

Wizara ya Madini kuibuka na miradi mikubwa ya kimkakati Read More »

Verified by MonsterInsights