Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan akifurahia mapokezi mazuri aliyopatiwa na umati wa wananchi wa Dar es salaam waliofurika katika Viwanja vya Kecha Kinyerezi wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu leo Oktoba 22, 2025.












