Matukio mbalimbali ya mkutano wa Kimataifa wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya Kimataifa; Viongozi wa Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika na taasisi ya Rockefeller (M300) inayofanyika leo Januari 28, 2025 jijini Dar es salaam.

Mkutano umefunguliwa na kufungwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan.