Kingu: Rais Samia ni mwanamke shupavu

“Afrika inakadiriwa kuwa na watu takribani 1.5 bilioni, na katika hiyo 60% ni watu vijana walio chini ya miaka 25. Ukiangalia kwa mujibu wa maazimio yaliyofikiwa katika mkutano huu wa mission 300, utagundua kwamba watu 185 milioni ambao ni nguvu kazi ya Afrika wanakwenda kusogezewa miundombinu ambayo itawasaidia kupata ajira katika maeneo yao. Kwa hichi alichokifanya Rais wetu ameionesha dunia kwamba yeye ni mwanamke shupavu, “-Elibariki Kingu Mbuge wa Singida Magharibi

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *