Rais Mwinyi: Hongera timu ya Simba kwa ushindi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewapongeza wachezaji wa timu ya Simba kwa ushindi walioupata katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, katika mchezo wa awali wa Nusu Fainali dhidi ya timu ya Stellenbosch Football Club ya Afrika Kusini. Aidha, Rais Dk. Mwinyi ametoa pongezi hizo akiwa […]

Rais Mwinyi: Hongera timu ya Simba kwa ushindi Read More ยป