“Chama Cha Mapinduzi kimepokea ushindi huu kwa furaha kubwa. Na tumekuwa katika kampeni kwa siku saba kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 26 na tarehe 27 tumeweza kupiga kura.
Ahadi yetu wakati wa kampeni ni kwamba Chama Cha Mapinduzi kimeongozwa na 4R za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,”Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla.