Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofautitofauti ya Picha aliposhiriki Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma leo February 05, 2025.








