Matukio The Gates Goalkeepers Award

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika hafla ya kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award” iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency, Dar es Salaam, leo Februari 4, 2025.

Tuzo hiyo ni uthibitisho wa mafanikio makubwa katika uongozi wake, hususan katika sekta ya afya, ambapo ripoti ya mwaka 2022 ilionesha kupungua kwa vifo vya uzazi kwa asilimia 80 pamoja na vifo vya watoto wachanga.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *