NMB yadhamini Bonanza la Wiki ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi
Katika kuadhimisha Wiki ya Maonesho ya Kitaifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi, Benki ya NMB imedhamini na kushiriki bonanza maalum lililoandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) mjini Singida. Bonanza hilo, lililofanyika katika Uwanja wa VETA – Singida, lilikutanisha makampuni kutoka sekta binafsi na ya umma yaliyoshindana katika michezo […]
NMB yadhamini Bonanza la Wiki ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Read More »