Mgunda aondoka Klabu ya Simba
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuwa Kocha Juma Ramadhani Mgunda hatokuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu ya Wanawake wa Simba Queens baada ya mkataba wake kutamatika na kubainisha kuwa kikosi hicho kwa sasa kitakuwa chini ya Kocha msaidizi, Mussa Hassan Mgosi ambae tayari ameshaanza maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ambayo itaanza […]
Mgunda aondoka Klabu ya Simba Read More »