Benki ya NBC yachochea ukuaji sekta ya Michezo, Burudani na Utalii Zanzibar, Rais Samia, Dk.Mpango wapongeza
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mwishoni mwa wiki ilishiriki kikamilifu kwenye Tamasha la Kizimkazi Zanzibar kwa kuandaa matukio kadhaa ya kimichezo, burudani na utalii visiwani humo yaliyohusisha uwepo wa viongozi wakuu wa nchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango na viongozi […]