Michezo

Mingange kuinoa Stand United FC

ALIYEKUWA kocha wa Ndanda FC na Mashujaa, Meja Mstaafu Abdul Mingange, ametua katika timu ya Stand United ya Shinyanga ambayo itashiriki Ligi ya Championship msimu mpya. Taarifa iliyotolewa na Stand United, inasema wamempa Mingange mkataba wa mwaka mmoja na wanaamini anauwezo wa kusaidia kuipandisha daraja timu hiyo iliyoteremka msimu wa 2018/19. “Mingange ndiyo kocha wetu […]

Mingange kuinoa Stand United FC Read More »

Simba Queens, PVB Buyenzi kuvaana

KIKOSI cha Simba Queens kinatarajia kukutana na PVB Buyenzi kutoka Burundi katika mechi ya mwisho ya Kundi B ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Abebe Bikila jijini Addis Ababa, Ethiopia. Tayari Simba Queens ambayo ni vinara wa Kundi B wameshatinga hatua ya nusu fainali ya michuano

Simba Queens, PVB Buyenzi kuvaana Read More »

Timu za Tanzania zaendelea kugawa dozi michuano FEASSSA 2024

TIMU za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Shule za Msingi na Sekondari ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) zimeendelea kung’ara kwa kugawa dozi kwa timu pinzani katika michezo mbalimbali inayofanyika Mji wa Mbale nchini Uganda. Michuano hiyo inayofanyika viwanja vya Shule ya Sekondari Bukedea Mjini humo, Agosti 21, 2024, Timu ya Soka ya wasichana

Timu za Tanzania zaendelea kugawa dozi michuano FEASSSA 2024 Read More »