Michezo

NMB yakabidhi Vifaa vya Michezo vya mil. 19/- kwa timu za JWTZ

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeishukuru Benki ya NMB kwa namna inavyojitoa kuunga mkono Sekta ya Michezo ndani ya jeshi hilo, kwa kufadhili na kuwezesha ushiriki wa Timu za Majeshi katika michuano mbalimbali, pamoja na kudhamini uendeshaji wa mashindano yake. Shukrani hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Utimamu wa Mwili, Michezo, Sanaa na Utamaduni wa […]

NMB yakabidhi Vifaa vya Michezo vya mil. 19/- kwa timu za JWTZ Read More »

Gunners FC yapanda Championship

Gunners FC ya Dodoma imefanikiwa kupanda Ligi ya Championship baada ya kuichapa Mapinduzi FC mabao 2-1 kwenye mchezo wa First League uliochezwa Uwanja wa CCM Samora, Iringa. Matokeo hayo yameiwezesha Gunners kuongoza Kundi B kwa pointi 45, ikifuatwa na Tanesco FC (32) na Rhino Rangers (31). Gunners inajiunga na Hausung ya Njombe, ambayo ilitangulia kupanda

Gunners FC yapanda Championship Read More »

Tabora United: Hatuihofii Yanga

Tabora United imesema iko tayari kwa mchezo wa leo dhidi ya Yanga na hawaogopi wapinzani wao, wakisisitiza kuwa mpira ni dakika 90. Msemaji wa klabu hiyo, Christina Mwagala, amesema wamefanya maandalizi ya kutosha na wanataka kurudia ushindi wa 3-1 walioupata kwenye mzunguko wa kwanza. “Baada ya kushindwa kusonga mbele kwenye Kombe la FA, tunataka kufuta

Tabora United: Hatuihofii Yanga Read More »

Malale Hamsini kutua Mbeya City

Mbeya City, iliyoshinda 2-0 dhidi ya Stand United, inakaribia kumtangaza Malale Hamsini kuwa Kocha Mkuu kuchukua nafasi ya Salum Mayanga aliyekwenda Mashujaa FC. Timu hiyo, inayoshikilia nafasi ya pili kwa alama 55, inaendelea kuwania kupanda Ligi Kuu msimu ujao. Msimamo wa ligi unaongozwa na Mtibwa Sugar yenye alama 60, huku Geita Gold na Stand United

Malale Hamsini kutua Mbeya City Read More »