Mtibwa Sugar yapaa, yahitaji pointi 11 kurejea Ligi Kuu
Mtibwa Sugar imeendelea kuimarisha nafasi yake ya kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya TMA kwenye Uwanja wa Manungu Complex, Morogoro. Ushindi huo umeifanya timu hiyo kufikisha pointi 60, ikihitaji pointi 11 pekee ili kufikia 71, idadi ambayo haiwezi kufikiwa na timu nyingine. Ikiwa na michezo mitano iliyosalia, Mtibwa inahitaji […]
Mtibwa Sugar yapaa, yahitaji pointi 11 kurejea Ligi Kuu Read More »