Serengeti Boys watazama ubingwa dhidi ya Uganda leo
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, inakutana na Uganda Cubs leo kwenye fainali ya CECAFA U-17, itakayopigwa katika Uwanja wa Hamza Nakivubo, Kampala. Timu zote tayari zimefuzu kushiriki Fainali za AFCON U-17 zitakazofanyika Machi mwakani nchini Morocco. Serengeti Boys walitinga fainali kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Sudan Kusini, […]
Serengeti Boys watazama ubingwa dhidi ya Uganda leo Read More »