Vijana wa Kitanzania Kuwezeshwa kupitia Vodacom Youth Base (VYB), kuongeza fursa katika za kidijitali
Vodacom Tanzania Plc imezindua Vodacom Youth Base (VYB), kampeni bunifu inayolenga kuwawezesha vijana wa Kitanzania wenye umri kati ya miaka 15 na 28, ili waweze kufikia mtindo wa maisha wa kidijitali. Jukwaa la Vodacom Youth Base (VYB) linakuja na faida mbalimbali ikiwemo, jumbe fupi za bure (SMS), punguzo la vifaa vya kielectroniki kama vile simujanja […]