Mwambusi aimarisha ulinzi Coastal Union, aitisha Yanga
KOCHA mpya wa Coastal Union, Juma Mwambusi, amesema ameanza na mazoezi maalumu ya kuisuka upya safu ya ulinzi ya timu hiyo ili isiruhusu mabao katika mechi dhidi ya Yanga itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Akizungumza na Nipashe jana, Mwambusi alisema amewataka wachezaji wake waingie katika mechi hiyo kwa tahadhari kwa […]
Mwambusi aimarisha ulinzi Coastal Union, aitisha Yanga Read More »