Waziri Ndumbaro atangaza fursa lukuki kwenye tamasha la tatu la utamaduni
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea litatoa fursa lukuki kwa wakazi wa mkoa wa Ruvuma na mikoa ya jirani katika nyanja za kibiashara, bidhaa za asili, vyakula, malazi, usafiri na litaambatana na mafunzo, semina na midahalo mbalimbali kuhusu Sekta za Utamaduni, Sanaa […]
Waziri Ndumbaro atangaza fursa lukuki kwenye tamasha la tatu la utamaduni Read More »