Profesa Jay akanusha anaomzushia kifo, ataka wapuuzwe
Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop nchini na mwanasiasa, Joseph Haule maarufu Profesa Jay amekanusha taarifa za kuzushiwa kifo zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza na Mwanachi leo Jumatatu Septemba 9, 2024, Profesa Jay amesema ni mzima wa afya njema na haumwi hata mafua, hivyo taarifa hizo ni za upotoshaji, hazina ukweli zipuuzwe. “Mimi […]
Profesa Jay akanusha anaomzushia kifo, ataka wapuuzwe Read More »










