Ndoa ya Dabo na Azam imevunjika
Klabu ya Azam FC imetangaza rasmi kuachana na kocha Youssouph Dabo na kuvunja benchi la ufundi la timu hiyo. Taarifa iliyotolewa na Azam FC leo Septemba 3, 2024 inaeleza kuwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. “Bodi ya wakurugenzi ya Azam FC na kocha, Youssouph Dabo, wamefikia makubaliano ya pande […]
Ndoa ya Dabo na Azam imevunjika Read More »










