Singida BS yajifungia Dar
KIKOSI cha Singida Black Stars kimeweka kambi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazoezi kwenye viwanja vya nyasi bandia kabla ya kuivaa Kagera Sugar, Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Kaitaba ulioko Bukoba, mkoani Kagera. Ofisa Habari wa Kagera Sugar, Hussein Massanza, amesema jana wamewasili Dar kwa lengo la kuweka mikakakati ya kuhakikisha wanapata […]
Singida BS yajifungia Dar Read More »