Gunners FC yapanda Championship
Gunners FC ya Dodoma imefanikiwa kupanda Ligi ya Championship baada ya kuichapa Mapinduzi FC mabao 2-1 kwenye mchezo wa First League uliochezwa Uwanja wa CCM Samora, Iringa. Matokeo hayo yameiwezesha Gunners kuongoza Kundi B kwa pointi 45, ikifuatwa na Tanesco FC (32) na Rhino Rangers (31). Gunners inajiunga na Hausung ya Njombe, ambayo ilitangulia kupanda […]
Gunners FC yapanda Championship Read More »