Michezo

Samatta amshawishi nyota mpya Simba

Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Morice Abraham, amesema kujiunga kwake na Wekundu wa Msimbazi kumefanikishwa na ushauri wa Mbwana Samatta, aliyewahi kuichezea timu hiyo 2010–2011. Morice, aliyekuwa akicheza Serbia, amesema Samatta ndiye aliyemhimiza kusaini mkataba na Simba na amekuwa mshauri wake tangu 2020. Mchezaji mwingine mpya wa Simba, Mkenya Mohamed Bajaber, amesema hakulala usingizi baada […]

Samatta amshawishi nyota mpya Simba Read More »

Weasel asimulia maumivu baada ya kugongwa na mkewe

Mwanamuziki wa Uganda, Douglas Mayanja ‘Weasel’, ameeleza masaibu aliyopitia baada ya mkewe, Sandra Teta, kumgonga kwa gari mara tatu katika baa ya Shan’s, Munyonyo, kufuatia ugomvi wa kifamilia. Tukio hilo lilisababisha miguu yake kuvunjika na kulazwa hospitalini akitarajiwa kufanyiwa upasuaji. Kupitia Instagram, Weasel amewashukuru mashabiki kwa salamu za pole na kuahidi kupona hivi karibuni. Polisi

Weasel asimulia maumivu baada ya kugongwa na mkewe Read More »