Michezo

Weasel asimulia maumivu baada ya kugongwa na mkewe

Mwanamuziki wa Uganda, Douglas Mayanja ‘Weasel’, ameeleza masaibu aliyopitia baada ya mkewe, Sandra Teta, kumgonga kwa gari mara tatu katika baa ya Shan’s, Munyonyo, kufuatia ugomvi wa kifamilia. Tukio hilo lilisababisha miguu yake kuvunjika na kulazwa hospitalini akitarajiwa kufanyiwa upasuaji. Kupitia Instagram, Weasel amewashukuru mashabiki kwa salamu za pole na kuahidi kupona hivi karibuni. Polisi […]

Weasel asimulia maumivu baada ya kugongwa na mkewe Read More »

Simba, Yanga zakaribishwa CECAFA

Klabu za Simba na Yanga zimeteuliwa kushiriki mashindano ya CECAFA yatakayofanyika Septemba 2–15 jijini Dar es Salaam, kama maandalizi ya michuano ya CAF 2025/2026. Mkurugenzi Mtendaji wa CECAFA, Auka Gecheo, amethibitisha kuwa maandalizi yanaendelea vizuri na timu zimeombwa kuthibitisha ushiriki wao mapema. Mbali na Simba, Yanga na Mlandege kutoka Tanzania, timu nyingine zilizotumwa barua za

Simba, Yanga zakaribishwa CECAFA Read More »