Michezo

Watoto wa Mama Samia waiheshimisha Bendera ya Tanzania Kimataifa

BONDIA Mtanzania Said Chino anaungana na Mabondia wengine wa Tanzania kwa kuweza kuipeperusha Bendera ya Tanzania kwenye pambano la kutetea mkanda wa International Boxing Association Inter-continental lightweight championship (IBA Inter-continental) baada ya kumpasua Bondia kutoka Afrika Kusini Malcolm Klassen kwa pointi za majaji wote watatu. Chino amshinda pambano hilo la Raundi 10 lililopigwa usiku wa

Watoto wa Mama Samia waiheshimisha Bendera ya Tanzania Kimataifa Read More »

Majaliwa akabidhiwa tuzo ya Rais Samia kutoka kwa wadau wa masumbwi nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa, amepokea tuzo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyokabidhiwa na wadau wa ngumi nchini kwa kuthamini na kuendeleza sekta ya michezo nchini. Waziri Mkuu pia amekabidhi tuzo kwa wadau wa Michezo kwa kuipigania sekta hiyo kwa jasho na damu

Majaliwa akabidhiwa tuzo ya Rais Samia kutoka kwa wadau wa masumbwi nchini Read More »

Rais Samia apiga simu pambano la KO ya Mama, awapa neno mabondia Watanzania

Rais Samia Suluhu Hassan amepiga simu kwenye pambano la KnockoutYaMama (KO ya Mama) na kuwapa salamu za Sikukuu ya Krismasi na kuwatakia mwaka mpya mwema mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki kushuhudia pambano hilo. Katika salamu zake, Rais Samia pia aliwataka mabondia Watanzania kupambana na kuipeperusha vema bendera ya Tanzania. Katika salamu

Rais Samia apiga simu pambano la KO ya Mama, awapa neno mabondia Watanzania Read More »

Msimu wa Tatu wa Rombo Marathon 2024 Wafanikiwa kwa Kishindo

Msimu wa tatu wa Rombo Marathon 2024 umehitimishwa kwa mafanikio makubwa, ukiongozwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, ambaye alihamasisha wanariadha wa Tanzania kutumia maeneo ya Rongai Forest kwa mazoezi, yakiwa na mazingira ya miinuko na misitu ya asili. Mbio hizo, zilizofanyika Desemba 23, zilihudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Rombo, mikoa jirani, na wageni

Msimu wa Tatu wa Rombo Marathon 2024 Wafanikiwa kwa Kishindo Read More »