Mwanasheria Mkuu wa serikali Hamza Johari (kulia) akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu) Mary Maganga (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Abdul-Razaq Badru (wapili kushoto) na watendaji wengine wa PSSSF, kabla ya kuingia kwenye kikao na kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, leo bungeni jijini Dodoma.

