Wednesday, March 18, 2026
spot_img
HomeHabariNimepiga kura, nimetimiza haki yangu ya kikatiba- Kapinga

Nimepiga kura, nimetimiza haki yangu ya kikatiba- Kapinga

Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza

Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupiga kura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika.

Kapinga ameeleza kuwa, kwa kufanya hivyo ametimiza haki yake ya kikatiba na kutoa wito kwa Watanzania wote kuitumia haki hiyo kikamilifu.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni miongoni mwa mihimili muhimu ya Demokrasia inayowezesha ushiriki wa wananchi katika uongozi wa maeneo yao.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments