Monday, March 30, 2026
spot_img
HomeHabariPICHA: Rais Samia apokea Ripoti za CAG, TAKUKURU na PPRA Ikulu

PICHA: Rais Samia apokea Ripoti za CAG, TAKUKURU na PPRA Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma katika matukio tofauti yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo Machi 30, 2026.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments